Msanii huyu amekua GUNZO mtaani baada ya kutoa ngoma yake iitwayoo Maisha na muziki baadhi ya watu wamekua wakisema kua darassa ni msanii alie shika nafasi ya kwanzaa kwa kuteka akili za watuu lakini pia wengine wamekua wakisema
Msanii huyoo darasa ndie anafaaa kuitwa simba wakati jina hloo likiwa linatumiwa na msanii mashuhuli Diamond platinumz
Ambae ndie mmiliki wa lebo ya WCB Toa maoni yako kama msomaji au shabiki wa mmoja wao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni