Jumatatu, 9 Januari 2017

RONALDO ATWAA TUZO YA FIFA THE BEST AWARD

Mchezaji huyo Wa Club ya Real Madlid  maarufu kama Christiani Ronald  amejishindia TUZO hiyo ya FIFA THE BEAST AWARD
Christian Ronaldo nimchezaji Ambae amekua mashuhuli na amejinyakulia umaalufu mkubwa sana kwa dunia   tukiacha hiyo pia Christiani Ronald amechukua TUZO kibao za mwaka  fatilia UK 3

MSANII DARASA AWA GUNZO MTAANI

Msanii huyu amekua GUNZO mtaani baada ya kutoa ngoma yake iitwayoo Maisha na muziki  baadhi ya watu wamekua wakisema kua darassa ni msanii alie shika nafasi ya kwanzaa kwa kuteka akili za watuu lakini pia wengine wamekua  wakisema
Msanii huyoo darasa ndie anafaaa  kuitwa simba wakati jina hloo likiwa linatumiwa na msanii mashuhuli Diamond platinumz
Ambae ndie mmiliki wa lebo ya WCB Toa maoni yako kama msomaji au shabiki wa mmoja wao

TUKUMBUKANE IPO KWA AJILI YAKO SASA