Mchezaji huyo Wa Club ya Real Madlid maarufu kama Christiani Ronald amejishindia TUZO hiyo ya FIFA THE BEAST AWARD
Christian Ronaldo nimchezaji Ambae amekua mashuhuli na amejinyakulia umaalufu mkubwa sana kwa dunia tukiacha hiyo pia Christiani Ronald amechukua TUZO kibao za mwaka fatilia UK 3
TUKUMBUKANE
Jumatatu, 9 Januari 2017
MSANII DARASA AWA GUNZO MTAANI
Msanii huyu amekua GUNZO mtaani baada ya kutoa ngoma yake iitwayoo Maisha na muziki baadhi ya watu wamekua wakisema kua darassa ni msanii alie shika nafasi ya kwanzaa kwa kuteka akili za watuu lakini pia wengine wamekua wakisema
Msanii huyoo darasa ndie anafaaa kuitwa simba wakati jina hloo likiwa linatumiwa na msanii mashuhuli Diamond platinumz
Ambae ndie mmiliki wa lebo ya WCB Toa maoni yako kama msomaji au shabiki wa mmoja wao

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)